Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga...
Za ndaaaaaani kabisa,
#TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki.
Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka...
Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini?
Hakuna Kitu...
Je, kuna umuhimu wa kuuliza mashabiki wapige kura iwapo Simba inahitaji kocha tena kwenye mtandao?
Je, ana uhakika gani waliopiga kura ni wana Simba?Unadhani leo akatokea mjinga mmoja pale...
Yanga Ina watu wenye level mbalimbali za uelewa. Tunajuwa kuwa hii ni janja ya kutuliza joto tu la fei kuondoka kizembe. Tunajuwa kuwa Kuna watu watavuta mkwanja kutuliza mambo ili Fei asepe...
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:
"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.
Europe and the West are lying...
Huu uhamisho unadhihirisha kuwa Azam fc wanapunguza QUANTITY na kuongeza QUALITY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YAJAYO YANAFURAHISHA,
SIJAMTAJA MTU.
Kufuatia sakata la feisal salum ndio imenifanya nielezee haya niliyoyaona kwa wachezaji wetu na team yetu ya taifa na jinsi wazawa wanavyodhaurauliwa na kushushwa thamani.
Yaani watanzania sisi...
BERNARD MORRISON ANA MATATIZO YA KIFAMILIA [emoji41]
Yanga kuwakosa watano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa sugar.
1. [emoji1254] Khalid Aucho - Anasumbuliwa na maumivu ya misuli ya...
Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa.
Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya...
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi...
Fagio linaendelea huko Azam fc,
Na sasa Chilunda na Salula wanatoka kwenda kutafuta malisho mengine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlete, mleteeeeeeeeeeeeeee......
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b)...
Nawasalimu kwa Jina la Sports, niende moja kwa moja kwenye Mada.
Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye...
Na nijiavyo Mfanyabiashara na Tajiri mwenye Akili Timamu hupenda Kufadhili Vilabu ambavyo vinafanya vyema, vinatangazika vyema na viko katika Nafasi nzuri Kimsimamo?
Ukiona mahala popote pale...
Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa...
Habari wanabodi,
Kama mnavyoona kukuru kakara za usajir za mchezaj wa Yanga bwana Feisal Salum (Fei Toto) kwenda Azam zinavyowatesa wana Yanga na hii ilianzia toka kwa mtukutu Bernad Morrison...