Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele. Waswahili wengi wamekuwa wakiweka...
33 Reactions
84 Replies
4K Views
Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo...
3 Reactions
114 Replies
8K Views
Ingekuwa sio wetu tungesema bahasha kipa kawaangusha. Ni tabulalasa. Ila kila tukikumbuka ni wetu tunakuwa wapole ns kubaki na jazba moyoni.
1 Reactions
7 Replies
706 Views
Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38. Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeingia playok, nikaset ugumu wa dalmax 100% Tanzanian rules, nikawa na smartphone mbili, nlikuwa nawaunga ninaocheza nao Playok na dalmax, nilikutana na mtu nkapigwa suti goli 3-0 mfululizo, na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA. Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni mkataba wa Fei na Yanga. Kipengele namba 14 cha mkataba huu kinahusu EXPIRY, SUSPENSION AND TERMINATION IF THE CONTRACT yaani kuisha, kusitishwa au kuvunjwa kwa mkataba. Kipengele hiki...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari za muda huu. Bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada , mashabiki wa bongo ni tatizo sana. Jana mnyama kapiga mtu saba kwa moja shangwe limetapakaa kila mahali ,kila mtu...
1 Reactions
11 Replies
904 Views
Hiki kilichomtokea ronaldo ni aibu ya karne Mchezaji bora mara tano wa Dunia Ronaldo alikataliwa na kila timu huko Ulaya Timu moja iliyomkubalia ni timu yake ya utotoni ila ikaweka mashariti...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote. Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
GENTAMYCINE (Shabiki Tukuka wa Simba SC) nilishawahi kuandika Mada (Thread) hapa hapa JamiiForums ya Kuwaonya akina Inonga na Sakho juu ya Uchezaji Wao wa anao anao mwingi na kutafuta Sifa kwa...
13 Reactions
23 Replies
5K Views
Wengi wamechanganyikiwa baada ya kumuona Feitoto akichezea JKU, ukweli ni kuwa kiungo huyo atajiunga na Yanga wakati wa kombe la mapinduzi. Kwa sasa anafanya mazoezi na JKU ili kujiweka fiti, pia...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndio. Katika ile nafasi palikuwa na Yacouba Sogne (25), Saido Ntibanzokiza (37) na Bernard Morrison (28) akiwa njiani kurudi. Yes ulikuwa uamuzi mzuri zaidi uliojaa maono ya kujenga timu kwa...
1 Reactions
5 Replies
479 Views
Ukiangalia michezo ya ligi inayoendelea nchini ikichezeshwa na marefa wanawake mtaniunga mkono. Ukweli marefa hawa wanashindwa kabisa kusimamia zile Sheria 17 uwanjani na wamegeuka kuwa sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
777 Views
Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimepitia orodha ya waamuzi walioteuliwa kutumika kwenye mashindano hayo yanayoanza Januari,lakini sijaona mtanzania hata mmoja. Jambo hili,halipendezi na sijui waamuzi wanalichukuliaje! Je...
2 Reactions
13 Replies
525 Views
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia. Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…