kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,378
- 9,605
Ingekuwa sio wetu tungesema bahasha kipa kawaangusha. Ni tabulalasa. Ila kila tukikumbuka ni wetu tunakuwa wapole ns kubaki na jazba moyoni.
La manula ni la Nini wewe kengemaji?Lile goal la jana ni la mchongo acha ushabiki maandazi
Yanga hakuna mzima hata mmoja manara hakukosea kusema wenye akili ni babaake na kikwete