Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna tetesi kuwa mchezaji wa zaman wa tp mazembe thomas ulimwengu atatambulishwa hii leo na club ya yanga, hvi kuna haja gani ya kumsajili garasa kwa sasa. Viongozi kwann?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi. Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu, Young African Sports Club VS...
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Ndio moyo wa mtu kichaka umeficha mengi sana mabaya na mazuri,meupe na meusi, damu na maji...nk Hakika msemo huu pasipo na shaka Feisal ametuonyesha maana yake, nani aliamini Feisal yule aliyekua...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wekeni Kumbukumbu huu uzi. Feisal Toto sijajua nani anamdanganya. Ila nadhani amesahau. Ameisahau Yanga. Yanga siyo kama Simba wale mabwege. Huyu Fei Toto namwona hapa akija Yanga analia akiomba...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo. Huko...
16 Reactions
83 Replies
5K Views
Asanteni wana yanga Kwa Dua zenu mrudi na kombe lenu hio kesho, yanga Mbele Daima nyuma tuwaachie Singida BS.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako. Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Haya mashindano ni kuchosha wachezaji, hayana tija na hayana quality yoyote ile, ni Mashindano ya Kiswahili. Kwa Club kupeleka hata timu B bado ni mkaosa sana, kule ni kupeleka C kabisa wakafanye...
3 Reactions
11 Replies
689 Views
Inaelezwa kwamba simba wapo katika mpango huo baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu huu.
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndio Rest in eternal peace Pele mchawi wa soka japo sikupata kukushuhudia ukicheza hakika dunia imepoteza wakali wa mpira Maradona na Pele. Pia ni funzo kwa sisi tuliobaki tujue tupo safarini...
1 Reactions
2 Replies
499 Views
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Messi 2. Pele 3. Maradona 4. Ronaldinho 5. De Stefano 6. De Lima 7. Zico...
4 Reactions
103 Replies
7K Views
Ulimwengu wa kandanda ulimpoteza "King" Pelé mnamo 2022, lakini jina la mchezaji huyu mashuhuri bado litaendelea kuishi, haswa kupitia watoto 738 nchini Peru waliozaliwa mwaka jana. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Habari zenu wanasoka.. Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele.. Binafsi sijapenda hii dhana...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Vipimo hivyo ambavyo wanapimwa viganja na mifupa (MRI) vimebaini wachezaji hao wamezidi umri unaotakiwa katika kikosi cha Chini ya Umri wa Miaka 17, na hivyo kuondolewa kikosini, wakianza harakati...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wapo mitandaoni wanmwaga matusi tu, Ila mzee amegonga kwenye mshono. Hawezi Kusema kuwa messi ni greatest mana yeye alishawaona Maradona na Cruyff, Na pia amefundisha wachezaji wengi sana ambao...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi...
9 Reactions
266 Replies
13K Views
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom