Kama mimi ningekuwa Christiano Ronaldo ningefanya kulinda heshima yangu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.

Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na Waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.

Ila huyu mwamba angefanya kama Bekham naona ingemsaidia sana sababu ana uwezo wa kuwa mwanamitindo na matangazo tu.

Au kufanya biashara yenye brand yake. Mpira kwa sasa basi kwake.

Na hapa ndio tutamsahau.
 
Kupata mkataba wa pounds milioni 200 kwa mwaka si mchezo.

Ronaldo bado uwezo anao, vilabu vingi vingependa kuwa nae shida yake pesa tu.

Ni sawa ila akitoka hapo anakuwa nani wakati kapoteza soko.
 
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.

Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija.
CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.

Ila huyu mwamba angefanya kama bekham naona ingemsaidia sana sababu ana uwezo wa kuwa mwanamitindo na matangazo tu.

Au kufanya biashara yenye brand yake.Mpira kwa sasa basi kwake.

Na hapa ndio tutamsahau
Wewe siyo Ronaldo na wala hutakuja kuwa
 
Ronaldo legacy yake haiwezi kupotea kizembe. Anachofanya Ronaldo ni watoto wengi waliotoka familia za maisha ya chini wangefanya.

Ile offer ni nzuri sana kuzidi status ambayo angeipata akishinda makombe kadhaa kwa muda uliobaki. Tayari kashinda kila kitu, Ronaldo ametengeneza generational wealth, ameweka income streams ambazo hata siku moja akikaa chini atasema 'nimetimiza lililonileta duniani kwa ajili yangu na kizazi changu.'

The Ronaldos hawatalia shida tena kwasababu mtu mmoja tu katika ukoo wao ameweza kuvunja chain ya umasikini. Si unaona leo hii kuna brands kubwa kama Gucci, Dior ni vizazi vinafaidi na ndiyo itakavyokuwa kwa brand ya CR7.
 
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.

Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija.
CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.

Ila huyu mwamba angefanya kama bekham naona ingemsaidia sana sababu ana uwezo wa kuwa mwanamitindo na matangazo tu.

Au kufanya biashara yenye brand yake.Mpira kwa sasa basi kwake.

Na hapa ndio tutamsahau
Mambo ya mitindo anafanya tangu akiwa man u na ana brand yake ya cr7 inaproduce viatu, nguo, miwani, manukato n.k
 
Back
Top Bottom