Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe (sasa Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo) akikabidhi zawadi kwa Hoyce Temu, ambaye alishinda taji la Miss Tanzania mwaka 1999 kwenye...
jamani nimepata mgeni...
Amegeuka rafiki wa kweli, hua ananipokea hivi....
Asubuhi akiamka hua anajumuika nami kufanya usafi
Nampenda sana maana anajali pia afya yake,
Karibuni sana...
Nimepigwa butwaa kukuta shule inaitwa hilo jina la SHOGA hasa ukizingatia mkanganyiko wa kimaadili unao ikumba nchi yetu kwasasa kutoka na kushamiri kwa vitendo vya Ushoga. Nashauri wizara ya...