Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,872
- 16,490
wote tunajua simu za mkononi zilianza lini na hii picha kwa muangalio wa haraka inaonyesha ni yakitambo, sasa angalia huyo bwana mwenye tai amekodolea macho kwenye simu kama vile anatuma sms.
haha.. mkuu haoa beast ni americans?...na sasa hivi kuna manyumbu wanamsifia sana 'mtukufu' inabidi ajiulize anachemka wapi?
wote tunajua simu za mkononi zilianza lini na hii picha kwa muangalio wa haraka inaonyesha ni yakitambo, sasa angalia huyo bwana mwenye tai amekodolea macho kwenye simu kama vile anatuma sms.
Mkuu wanajifahamu na akili zao za kushikiwa na kiganja kimoja.haha.. mkuu haoa beast ni americans?
back to topic