Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 7, 2016 #1 Vijana wa Uswaz wakivimbirwa utawajua tu...full vituko !!!
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,988 72,179 Mar 7, 2016 #3 ha ha ha... pindi nmeona kichwa cha post nmefungua chap chap lkn nlichokuta nmecheka duuuu...!! sijui world war IV itakuwaje...! asante kwa picha
ha ha ha... pindi nmeona kichwa cha post nmefungua chap chap lkn nlichokuta nmecheka duuuu...!! sijui world war IV itakuwaje...! asante kwa picha
Ziroseventytwo JF-Expert Member Mar 27, 2011 8,502 15,357 Mar 7, 2016 #4 We Bitoz wewe, acha kumpiga mwenzako
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,632 2,106 Mar 7, 2016 #5 Bitoz said: Click to expand... Hapo sasa amvutie kichwa hapo nyuma then amtole kitu
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 7, 2016 Thread starter #6 KENZY said: ha ha ha... pindi nmeona kichwa cha post nmefungua chap chap lkn nlichokuta nmecheka duuuu...!! sijui world war IV itakuwaje...! asante kwa picha Click to expand... Uswaz hiyo
KENZY said: ha ha ha... pindi nmeona kichwa cha post nmefungua chap chap lkn nlichokuta nmecheka duuuu...!! sijui world war IV itakuwaje...! asante kwa picha Click to expand... Uswaz hiyo
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 7, 2016 Thread starter #7 Ziroseventytwo said: We Bitoz wewe, acha kumpiga mwenzako Click to expand... Hahaha Mpaka atoke nundu...akiokota tu jiwe naanza mbele
Ziroseventytwo said: We Bitoz wewe, acha kumpiga mwenzako Click to expand... Hahaha Mpaka atoke nundu...akiokota tu jiwe naanza mbele
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 7, 2016 Thread starter #8 Smokey D said: Hapo sasa amvutie kichwa hapo nyuma then amtole kitu Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #9 lolypop said: Aisee Click to expand... Vita ILIYOTUKA
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #12 MNYAMAKAZI said: Nyosooooo, kuna mteja hukuuu. Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #13 Mainus said: Huyo ni zaidi ya Adolf Hilter Click to expand... Dikteta wa Uswaz
Mainus JF-Expert Member Mar 7, 2016 295 238 Mar 10, 2016 #14 Bitoz said: Dikteta wa Uswaz[/QUOTE/] Dah mwambie aache ubabe Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #15 Kalianzisha mwenyewe...
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,279 2,915 Mar 10, 2016 #16 Bitoz said: Vita ILIYOTUKA Click to expand... Iliyotukuka Kwnn ahangaike alikosa au
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #17 Engineer2014 said: Iliyotukuka Kwnn ahangaike alikosa au Click to expand... Kapigwa rokapu ya kushtukiza....hizo zana atoe wapi labda aokote jiwe hapo chini
Engineer2014 said: Iliyotukuka Kwnn ahangaike alikosa au Click to expand... Kapigwa rokapu ya kushtukiza....hizo zana atoe wapi labda aokote jiwe hapo chini
Bonesmen JF-Expert Member Jan 18, 2016 929 991 Mar 10, 2016 #18 Hao wameshiba ugali na mlenda basi shida sitashangaa nikiambiwa wanalala sebuleni
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,551 Mar 10, 2016 Thread starter #20 Th Name said: hiyo roba tu Click to expand... Subiri siku upigwe ww...hapo akitoa kichwa ni full kizunguzungu km mzunguko wa paka !!!
Th Name said: hiyo roba tu Click to expand... Subiri siku upigwe ww...hapo akitoa kichwa ni full kizunguzungu km mzunguko wa paka !!!