Watz mpo mmekata tamaa sana, sasa ndio umeandika nini?!
!
huku kwetu watakuwa bize kukimbizana na raia waliovaa nguo zinazofanana na zao huko mitaani kama sio kuwa katika vibar vyetu vya uswahilini wakitusumbua na vi allowance vyao
Watz mpo mmekata tamaa sana, sasa ndio umeandika nini?
Mbona hizo taizi ni za kawaida sana na vijana wa jwtz wanazifanya Mara nyingi? Au kuna nini kipya hapo?
!
!
huku kwetu watakuwa bize kukimbizana na raia waliovaa nguo zinazofanana na zao huko mitaani kama sio kuwa katika vibar vyetu vya uswahilini wakitusumbua na vi allowance vyao
Haa haaa duh angalia siku hizi hata ukisema kifaru cha jeshi kimeibiwa unasakwa na polisi.
Kipya ni kwamba, kuna wengine tuliwaacha form four failures, mm Nina degree lakini maisha yao unaona kuna upendeleo.Watz mpo mmekata tamaa sana, sasa ndio umeandika nini?
Mbona hizo taizi ni za kawaida sana na vijana wa jwtz wanazifanya Mara nyingi? Au kuna nini kipya hapo?
Mmmmh we baba wee! mbona unayatupa maneno?!
!
huku kwetu watakuwa bize kukimbizana na raia waliovaa nguo zinazofanana na zao huko mitaani kama sio kuwa katika vibar vyetu vya uswahilini wakitusumbua na vi allowance vyao
Hizi dharau ndizo zinafanya watu wawafumue mkiingia anga zao.!
!
Maana hawa jamaa huwa wanakuja na matofali yao na kuyavunja wenyewe. Ningetamani waseme tuwapelekee yetu wayavunje ili tuamini ukomandoo wao. Yale matofali ni dhaifu sana yanaonekana. Sijui lakini labda ni magumu