Nimempata mgeni....

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,970
45,848
jamani nimepata mgeni...
cat.jpg


Amegeuka rafiki wa kweli, hua ananipokea hivi....
cat.jpg
cat-hug.jpg



Asubuhi akiamka hua anajumuika nami kufanya usafi

cat brushes teeh.jpg


Nampenda sana maana anajali pia afya yake,

cat taking shower.jpg


Karibuni sana nyumbani kwetu...:):):)
 
Back
Top Bottom