Hapo ni kabla ya kifaa kinachoitwa stethoscope hakijagunduliwa madaktari walitumia njia hii kusikiliza mapigo ya moyo na kujua kama mapafu yanashda
Sipati picha mpaka karne ya leo hicho kifaa...
Kutooneka kwa Mh.JPM kwenye mikutano mbali mbali za Kimataifa kumekua kukizuia hisia tofauti tofauti ndani na nje ya Nchi.
Lakini Hawa Jirani zetu wanahisi sababu ni km hiyo katuni inavyoonesha.