Wamuonavyo Rais Magufuli

Wamuonavyo Rais Magufuli

vegas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,043
Reaction score
645
Kutooneka kwa Mh.JPM kwenye mikutano mbali mbali za Kimataifa kumekua kukizuia hisia tofauti tofauti ndani na nje ya Nchi.
Lakini Hawa Jirani zetu wanahisi sababu ni km hiyo katuni inavyoonesha.

Screenshot_2016-08-31-07-33-57_1.jpg
 
Kutooneka kwa Mh.JPM kwenye mikutano mbali mbali za Kimataifa kumekua kukizuia hisia tofauti tofauti ndani na nje ya Nchi.
Lakini Hawa Jirani zetu wanahisi sababu ni km hiyo katuni inavyoonesha.
Wapo sahihi! Kwake yeye adui yake namba moja ni upinzani na mtu mwingine yeyote aside msifia.
 
Safi sana!hapo kwenye mashine ningependa kuziona ngo za kizushi kama ile ya haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom