Mzuka wanajamvi!
Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika.
Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na...
Batanzania.
Ni baeleze.
Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post.
Ameandika:
Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani...