Kauli ya Prof. Anna Tibaijuka inaibua mjadala muhimu kuhusu ukweli wa hali ya deni la taifa (Tanzania). Inaonyesha kuwa huenda kuna tofauti kati ya kauli za viongozi na tathmini za kitaalamu. Hii...
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya...
Una picha yako ya zamani? ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF?
Mimi naanza na hizi. Si ngeni machoni...
Uzi huu ni Kwa ajili ya juona maendeleo yaliyofanywa na mheshimiwa Magufuli tokea ameingia madarakani mwaka 2015 , na Yale ambayo kamalizia kujenga
Ila tupate maelezo kidogo kabla ya picha...
Assalam'alaykum...
Karibuni wote katika sehemu rasmi hapa Jf ya kuelimishana na kuzinduana na kupata maarifa kupitia picha za nukuu na picha zinazohusisha dini ya kiislamu . Baada ya pilipilika...