kuna siku nimepewa lifti ,basi siti ya nyuma kulikua na briefcase imejaa pesa na haifungwa,,nikashindwa kuiba hata kiburuguntu kimoja ,,,najilaumu sana aisee
semeni na nyie basi
Dubai mwaka 1990
Mtaa huo huo mwaka 2003
Mtaa huo huo mwaka 2007
Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki
Na hiki
Na hiki
Na hiki
Na treni lisilo na dereva
Si London, si Paris, si New...