Wape neno moja

Wape neno moja

Joined
Aug 22, 2013
Posts
66
Reaction score
66
IMG_20171210_153942.jpg
 
Watakapo mfutia kesi wasimsahau na masogange.
Lakini ndio zitakuwa zimeisha kesi kwenye list ya wauzaji na watumiaji wa unga, maana zilikuwa zimebaki mbili tu baada ya manji kuwa huru.
 
Adui yako wa leo ni rafiki yako wa kesho
 
Kah! Neno zito sana hilo ... Usifurahie shida za mwenzako tambua ya kwamba hujafa hujaumbika.. Kila la kheri
Mkuu wapi nimeonesha kufurahia shida zao? au kueleza ukweli unahisi ni kufurahia? Pole najua umeumia labda na ww ni mhanga wa jambo hilo!
 
Kikubwa mdogo wngu nape anatakiwa kujifunza kuishi na watu ajitaidi pia kusoma historia ya nchi yetu na Siasa zetu...
 
N

Nape tena?
Turudi nyuma kidogo kwenye sauti za steve nyerere na mama wema Turudi tna vita yke nape na mzalendo namba mbili Tanzania ndugu bashite labda utaweza kunielewa kidogo...
 
Wanasiasa wa kibongo ni hamnazo kabisaaa,hapo wema atampa bashite hadi papuchi ya buree sie mtwagombana huku mtaani ccm vs cdm wao wapo mahotelini wanakunywa juice glass 1@15000/= sie twanywa ulanzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom