Haya mkuje mseme

Haya mkuje mseme

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,607
Screenshot_2017-12-12-16-31-24-1.png
kuna siku nimepewa lifti ,basi siti ya nyuma kulikua na briefcase imejaa pesa na haifungwa,,nikashindwa kuiba hata kiburuguntu kimoja ,,,najilaumu sana aisee
semeni na nyie basi
 
namba ya alokupa lift si unayo,,,jiongeze sasa nxt tym
 
View attachment 649365 kuna siku nimepewa lifti ,basi siti ya nyuma kulikua na briefcase imejaa pesa na haifungwa,,nikashindwa kuiba hata kiburuguntu kimoja ,,,najilaumu sana aisee
semeni na nyie basi
Kama ulikaa siti ya nyuma alikuwa anakuangalia tu kwenye driving mirror ungechukua tu ingekula kwako
 
Back
Top Bottom