Unamchukua Mohamed Dewji na Bakhresa unawaweka pamoja, halafu unawapa maji ya kunywa ya Kilimanjaro mshindani wao mkubwa katika biashara ya maji.
Kumbuka Bakhresa anamiliki brand yake ya maji na...
kuna watu wanaona mbali jamani,huyu jamaa alichora hii katuni naye aliona mbali! kweli kwa jinsi mambo yanavyokwenda ni kama mtu aliokota embe dodo barabarani.