Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,797
- 28,461
kuna watu wanaona mbali jamani,huyu jamaa alichora hii katuni naye aliona mbali! kweli kwa jinsi mambo yanavyokwenda ni kama mtu aliokota embe dodo barabarani.
hii katuni ipo kwenye gazeti la Mwananchi, 14/7/2015 alichora jamaa moja anaitwa mtega