Hii ni TOYOTA JF40. Almaarufu "Kiboko ya Sokoine". Gari hio ilitengenezwa 1978. Gari kama hii ndio ilisababisha ajali iliyopelekea kufa kwa aliyekuwa waziri mkuu Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine...
Najua mmekuja mbio na wengine kidogo wajikwae!
Hizo ni picha nimepiga leo.
Lakini unekuwepo hapo live nahisi ungekosa pumzi kwa uzuri na mandhari ya hilo eneo linaloitwa LEMOSHO ROUTE.
wazungu sio...