Kiboko ya Sokoine

Kiboko ya Sokoine

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,468
Reaction score
17,974
Hii ni TOYOTA JF40. Almaarufu "Kiboko ya Sokoine". Gari hio ilitengenezwa 1978. Gari kama hii ndio ilisababisha ajali iliyopelekea kufa kwa aliyekuwa waziri mkuu Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine 12.04.1984 kule morogoro.
images.jpeg
ebay141938169872163.jpeg
 
kumbe JF imetoka mbali, JF40 mpk JF si mchezo!
 
Hii ni TOYOTA JF40. Almaarufu "Kiboko ya Sokoine". Gari hio ilitengenezwa 1978. Gari kama hii ndio ilisababisha ajali iliyopelekea kufa kwa aliyekuwa waziri mkuu Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine 12.04.1984 kule morogoro. View attachment 811180View attachment 811181
Ur so inhuman .. Sokoine angekuwa baba ako mzazi ungeweza kudiriki kuliita hilo gari jina hilo? Hivi baba ako au mama ako mzazi akifa kwa kugongwa na bodaboda halafu watu wakaanza kuiita bodaboda hiyo kiboko ya baba ako au mama ako utajisikiaje? Mods toeni Uzi huu
 
Mkuu umeongea haswaa, nilitaka kukatisha kwa kumtaka mleta uzi aoneshe "kiboko ya babake"
 
Back
Top Bottom