Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nimejaribu kuumiza kichwa kujua hii picha ina maana gani nimeshindwa nimeona niilete huku najua nitapata jibu haya kwa aliye elewa tafadhali
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiliangalia moja kati ya magari manne yaliyopata ajali yakiwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli katika Kijiji cha Kasuguti wilayani Bunda mkoa wa...
Huu ni uzi ambao utakuwa na mkusanyiko wa picha ambazo nitakuwa nimepiga mimi katika maeneo mbali mbali katika mizunguko ya kila siku. Na wewe pia unaweza kushare zako pia.
Leo naanza kama ifuatavyo