Ni nadra sana kukuta mdada mrembo mwenye msimamo kama huyu kwa bongo

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,577
15,337
DmD9ah8W0AAWeiv.jpg


Inabidi tuwaone haohao sura ngumu warembo haina jinsi kwa sababu tayari ni warembo akilini.
 
Hongera nilikuwa nawachokoza tu. Hata maandishi yako yanaonyesha ulimbwende wenye msimamo Ila haujulikani kwenye vyanzo vya habari.

mkuu unanifurahisha namna unavo weka mezan mada zako na ku'reply comment za wadau! Vip kale ka house girl kako bado kapo? Niazime basi wik'end hii kanisaidie usaf maana mama chanja kasafir!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom