habari za saizi ndugu zangu wa jamii forum(jf) nimeanzisha uzi huu mahasusi kabisa kushare picha nzuri pamoja na wallpapers maana nimeona watu wengi sana wanateseka kutafuta na kupata wallpapers...
Huu ni msemo mpya kutoka kwa msanii nguri wa katuni. Eti, KORONDI.
Kwa wataalam wa picha na lugha, tunaomba msaada wenu nini kinamaanishwa hapa na msanii Kipanya.
Sent using Jamii Forums...