Eti uyu mdada ni mtanzania au?
kwanini wanaochagua miss Tanzania wasimpe?
kuna mdada mzuri kama uyu kweli Tanzania hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
wangapi waliogeshwa kwa mtindo huu utotoni?mana unaambiwa fumba macho ukifumbua sabuni yake machoni utakoma!!!!!!!! !mana unasuguliwa na dodoki,jiwe au chupi yako na usipokuwa makini na balance...