Picha za Wajuba wanaocheza na jeneza

Picha za Wajuba wanaocheza na jeneza

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Wakuu nadhani wengi wenu mmewaona mitandaoni wanavotrend.
Mwenye picha zao tafadhali.
IMG_20200424_133548_486.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko.mtandaoni ulipowaona kwann hukuchukua hizo picha zao.
 
Kwani JF imekumbwa na nini? Yaan huu nao ni uzi wa kusema uanzishe kbsa? Ebu tuipeni heshima yake kama zamani basi. Mods uzi nyingine zifutieni mbali kulinda heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom