Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja
Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Usa River, wilayani Arumeru, Msafiri Mbwambo (38) ameuawa kwa kukatwa shingoni na kitu chenye ncha kali.