Mtoto mwingine mwenye fair haired,green eyed aliyezaliwa na wazazi weusi <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com:office:smarttags"...
Wakati wasanifu wapo mbioni ku design flyovers za Bongo, mnaonaje mkateremsha kitu namna hii pale Ubungo na kule Tazara?
**Mafisadi hebu jinyimeni mwaka mmoja tu kipatikane kitu namna hii!
white poverty. sio kama tunapenda, bali na wao wawe na adabu kutufaya tuonekane kama vikaragosi wa sayari hii. Sembene Ousmane katika kitabu chake cha God's bits of wood kaonyesha ni jinsi gani...
Katika pita pita yangu pale kwenye viwanja vya saba saba last week nilifanikiwa kuwaona maharusi hawa sasa sijui ndio honey money yenyewe waliamua kumalizia kwenye maonyesho hayo ama vipi?
Sijui ajali nyingine tunaweza vipi kuzifafanua.. lakini kinachonishangaza ni hawa wanaojitokeza kuzishangaa hivi wanafanya kazi zozote au ndiyo kila mtu amejiajiri mwenyewe?
Wakati lengo la mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi duniani likiwa ni kujadili na kuonana maendeleo na mafanikio katika nchi mbalimbali Tazania tukiwa wamoja wao lakini banda letu limekuwa kama...