Huyu jamaa alifaa awepo kwenye yale mashindano, kwa wale mnaokumbuka, Bw. mmoja akashinda na almarhumu Dr. Remmy (RIP) akalalamika kuwa mshindi alipendelewa. Anaonekana kutoa "Hi, what's up ya all...
Picha hizi zinaonyesha ni kwa namna gani udhalilishaji ulivyokithiri. Huyu mama ni mama wa watu huko nyumbani na pia ni miongoni mwa raia ambaye anaamini kabisa haki zake zinapaswa kuheshimiwa...
Dk Bilal akiwa mbuga za Serengeti
Bill Clinton akiongea na Pius Msekwa Ngorongoro Crater
Sisi Watanzania hata kuvaa kwendana na mazingira imekuwa shida.Ni lini tutaacha kuvaa suits kwenye mbuga...