Kwa hisani ya Mzizi mkavu: HAWANA ADABU!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Ndivyo anayoonekana kusema, Malkia akijiandaa aidha kuvua ama kuvaa vizuri mahijab

article-0-0C398613000005DC-245_634x454.jpg
 
Shida ni nini kufuata taratibu za watu/dini fulani???mambo madogo jamani ila ya muhimu.....hana lolote alilopungukiwa kwa kuvaa hiivyo!
 
Ni masuala ya pride tu. Waarabu watachonga sana kumvisha bibi mahijab yao
 
Ni masuala ya pride tu. Waarabu watachonga sana kumvisha bibi mahijab yao

Wazungu hakuvaa hijabu ? so historia ya mavazi yao. Ilikua mwamamke akitaka kutoka nje ya nyumba lazima avae kitambaa ( bonnet ) kichwani na kuvaa nguo ya heshima ndefu yenye mikono mirefu.
 
Back
Top Bottom