Hivi kwa hali hii ni wapi tunaelekea. Tofauti ya Matajiri na masikini, walionacho na wasionacho...!
Hii ndio taswira ya maisha ya sasa...! So sad.
Angalia tofauti iloyopo...!
MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
Nimeipenda sana hii Harusi, natamani nikishapata mwenzi wangu nifunge nae ndoa ya hadhi hii.
If you look the pics careful you'll see the ladies are so cute and beautifully.
Kama unahitaji kuoa na wamebakia wanawake wawili tu kati ya hawa hapa utamchagua yupi?
<table cellpadding="5" cellspacing="0"><tbody><tr><td rowspan="2" style="overflow: hidden;" valign="top"...