shopping mall in one of the chinese cities. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shopping mall in one of the chinese cities.

Discussion in 'Jamii Photos' started by KUNANI PALE TGA, Jan 28, 2011.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  enjoy the world .
   

  Attached Files:

 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wonderful! Ila pamoja na uzuri huu wote kila mahali unapokuwa China huwa kuna ka-harufu fulani hivi (wao wameizoea) ... sijui huwa ni ya nini?
   
 3. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 4. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tuwaruhusu washushe moja pale Kariakoo
   
 5. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Alafu wapemba waende wapi????
   
 6. markach

  markach Senior Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mh! hawa jamaa noma
   
 7. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kila race ina harufu yake, ukikaa na wahindi wanaharufu yao, wazungu pia wana harufu fulani, waarabu pia vivyo hivyo na wachina wanayo hiyo ulio isikia (nusa). Pia hata sisi waafrika tunayo ya kwetu ila tumeizoea huwezi kisikia.

  Ni sawa na jinsia ya kike ina harufu yake na jinsia ya kiume vivyo hivyo ila wewe utasikia ya jinsia tofauti. hii ni tofauti kabisa na vikwapa au harufu ya soxy. Fanya utafiti utagundua.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  He he he hivi MLIMANI CITY na yenyewe ni shopping mall anyways kibongo kibongo ndio saizi yetu
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwanini Kariakoo shopping mall kama hizi unaenda kuweka huko nje ya mji
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu umeona kazi hiyo halafu piga picha ni hii shopping mall yetu ya MLIMANI CITY tunayojidai nayo utagundua we still have a long way to go
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
  pemba
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nice lakini bado kuna watu wanakosa hata mlo wa siku
   
Loading...