hii sio photoshop na jamaa sio taahira... Anaitwa Carlos Rodriguez.
Ni ajali tu ilitokea, madakitari ikabidi waondoe sehemu ya bupuru la kichwa chake.
Yaliyojiri yakajiri.
Hivi karibuni nilitembelea Selous na miongoni mwa mambo niliyojifunza ni lugha inayotumiwa na Tour Guide katika kuwasiliana pale wanapoulizana mahali walipo wanyama Fulani. Kule wanyama hawaitwi...
Wakuu,
Ni utaratibu kuwa mhalifu akibainika anapaswa kufikishwa polisi ili haki iweze kuendeka. Hii pia ni muhimu kwa ajili ya usalama wa mtuhumiwa. Ebu jionee, kweli jeshi linaheshimu haki za...