Rais amenichefua siutaki tena Ubunge.......Msikie mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais amenichefua siutaki tena Ubunge.......Msikie mwenyewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Feb 26, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
 2. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Mama Makinda anasema ''sitagombea ubunge 2015

  posho zinalipwa siku za vikao tu(siku 9 kwa vikao vitatu achilia cha bajeti)

  nishaurini nikope nijenge maana mtakuja nitembelea baada ya kuacha ubunge mkute sina pa kuishi''
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mimi nilifikiri kaamua kwa moyo mkunjufu kutogombea kumbe 7bu ya kutokubali kuongeza posho apole sana na nni jambo zuri sana ili na wengine wapate hiyo nafasi
   
 4. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Eti huyu naye alipewa tuzo ya nini sijui, very shagharabaghara.
   
 5. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Duuh wanasiasa wataanza lini japo kidogo kusema ukweli? Eti ubunge ni sehemu ya umasikini wa kutupwa. Kwa nini wanaenda kukopa, wanahonga na kwenda kwa waganga ili wapate Ubunge ? Ina maana ili wawe masikini wa kutupwa ? Angesema unakuwa masikini ukikosa ubunge tungeelewa.

  Ila huyu mama mjanja sana, naona kasoma alama za nyakati akagundua hali ya baba wa Taifa (CCM) inaelekea kuzimu. Kaona atashindwa hiyo miaka ijayo maana wameshachokwa. Mihimili yao akini Luhanjo imeshashtukiwa, kila mtu anawatolea macho. Hali ni mbaya sana.

  Wameshafanya ufisadi wa kutosha.
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  yaani wanachi ndio wamshauri kwenda kukopa:A S-confused1:, kitu gani kimemkumba huyu mama?
   
 7. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu mama kadri siku zinavyozidi kwenda mbele pumba zinazidi kuongezeka kichwani mwake
   
 8. H

  HERBERGONER Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajawahi kuwa na pointi akafie mbele useless
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Mbona wanaulilia sana?
   
 10. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280

  Huyu mama akafanyiwe maombi. Kuna kitu hakiendi sawa mahala flani.
   
Loading...