Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,953 Reaction score 2,489 Feb 29, 2012 #2 haba na haba huleta mahaba.
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Feb 29, 2012 #3 eti hawa n kina nani?
Munru JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 1,340 Reaction score 667 Feb 29, 2012 #4 huyu msanii wa uongo jafarii akiiona hii picha atazimia tena ha ha ha lol
Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,933 Feb 29, 2012 #5 paty said: huyu msanii wa uongo jafarii akiiona hii picha atazimia tena ha ha ha lol Click to expand... Kwa nini azimie wakati wanasiasa na wanaharakati wanapokuwa pamoja kufanya tafakuri ya mustakabali wa taifa letu?
paty said: huyu msanii wa uongo jafarii akiiona hii picha atazimia tena ha ha ha lol Click to expand... Kwa nini azimie wakati wanasiasa na wanaharakati wanapokuwa pamoja kufanya tafakuri ya mustakabali wa taifa letu?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 29, 2012 #6 ..............Nadhani hoja yako ni zaidi yakisiasa...............na log off
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 907 Feb 29, 2012 #7 Hapa itikati za kisiasa hazina nafasi, wanaonyesha utanzania zaidi!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Feb 29, 2012 #8 Na hawa ni kina nani?
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Feb 29, 2012 #9 Safari_ni_Safari said: Na hawa ni kina nani? Click to expand... kaka na dada :lol:
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Feb 29, 2012 #10 Emanuel Makofia said: kaka na dada :lol: Click to expand... mbona dada mrefu sana
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Mar 1, 2012 #12 Emanuel Makofia said: kaka na dada :lol: Click to expand... Dah!!! hivi ilikuwa lazima wasogeleane kiasi hicho.
Emanuel Makofia said: kaka na dada :lol: Click to expand... Dah!!! hivi ilikuwa lazima wasogeleane kiasi hicho.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Mar 1, 2012 #13 courtesy said: mbona dada mrefu sana Click to expand... baba mama tofauti
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Mar 1, 2012 #14 candid scope said: Click to expand... mbona nyerere yuko mwenyewe?
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Mar 1, 2012 #15 huyu dada ana fettish na rappers(gangsta rappers)..nawaonea geleee......
Opaque JF-Expert Member Joined Oct 24, 2008 Posts 1,359 Reaction score 732 Mar 1, 2012 #16 Mbona dada pekee ndo amemshika kaka (begani), inaashiria nini?
shizukan JF-Expert Member Joined Jan 16, 2011 Posts 1,158 Reaction score 564 Mar 1, 2012 #17 Saint Ivuga said: mbona nyerere yuko mwenyewe? Click to expand... Nyerere alikuwa kikazi zaidi. R.I.P, ungekuwepo tusingefanyiwa hivi na Kikwete.
Saint Ivuga said: mbona nyerere yuko mwenyewe? Click to expand... Nyerere alikuwa kikazi zaidi. R.I.P, ungekuwepo tusingefanyiwa hivi na Kikwete.