Naleta kwenu wana jamii, tusaidiane, kila siku, kila mwezi, tunachangia harusi, na nikirudi nyumbani mtoto kachafua nguo, kisa wanakaa chini, na michango ya harusi niliyochangia kwa mwezi naweza...
Nilipata faraja kwa mara ya kwanza katika historia ya Zanzibar kumuona Rais wetu amehudhuria katika shuhuli zetu tunakushuru kwa kuitikia witowetu pia tungefurahiwa zaidi uwepo wa mama shien...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali May 7, 2012. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...