Masika ina raha yake Uswahilini, asikuambie mtu

Masika ina raha yake Uswahilini, asikuambie mtu

huyo inabodo hela amdai wakifika katikati ya safari,tena anaweza hata kumpandishia gharama!!
 
Leo naona ajabu jogoo kapanda baskeliiiii, bata kavaa laizoni................................., wachache watakumbuka huu wimbo,
 
Naona kijana anatafuta riziki afu kambeba vizuri sana kama mali yake vile!
 
kweli kijana kajitahidi kupakata vizuri anategemea kulipwa vizuri pia
 
Back
Top Bottom