Serikali imechoka kutangaza vivutio vya utalii, sasa inatangaza vivutio vya nje ya nchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imechoka kutangaza vivutio vya utalii, sasa inatangaza vivutio vya nje ya nchi.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, May 6, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Gari la Naibu Waziri likitangaza vivutio vya utalii Shelisheli.
  [​IMG]
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani kama kapewa zawadi ya tyre cover afanye nini
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Akapambe nyumbani kwake.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi magari mengine huwa hayafai kwa matumizi ya wakubwa wetu......
  Kuna malandrover, nissan 4wd nzuri tu na mengineyo mengi.....kwani ni lazima iwe LC vx, gx au aina ya hizo....?
  au na hiyo ipo kwenye katiba.....?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Mawaziri wa Tanzania wako very cheap, wanahongwa hadi wheel covers wanapokea, je wakihongwa nyumba Bahari Beach watakataa kweli?
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Ilani yetu ndivyo inavyosema.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  HII NI AIBU JAMANI. WAZIRI HAJUI HATA MLENGO YA KIMAENDELEO YA TAIFA LAKE. Unawezaje kuitangaza nchi nyingine wakati kwetu panaharibika!
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani kukataa haruhusiwi??
   
 10. JS

  JS JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kukataa si rahisi kama ni zawadi kapewa. Lakini asingevalisha kwenye gari ya serikali tena haileti maana nzuri
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  MadameX mbona huna roho ya uzalendo hata kidogo? Yaani tusiwajibike kwa kuwa tu tumepewa zawadi? Tuweke utaifa mbele, kisha maslah yetu binafsi yafuate.
   
 12. D

  Don Calvino Senior Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kiongozi hajajua kusoma kilichoandikwa kwenye wheel cover, siunajua viingereza vya 'East Africa ubunge'
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni!!

  Lakini hii serikali imejaa mamluki ...ama kweli!!!!!
   
 14. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Matukio haya mbona ni mengi hapa Bongo! Nakumbuka Mahita alipokuwa IGP aliwahi kuvaa kofia ya NYPD (New York Police Dept.) alipokuwa asst. referee (linesman) ktk mechi kati wabunge na mabalozi wa nchi za nje waliokuwa wanawakilisha nchi zao Tz.
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  mafisadi hawa wote an sitashangaa huyu waziri ana hisa kwenye kampuni la utalii linalopeleka watu huko...hii ni skendoo ya kujiuzulu kabisa hana uzalendo huyu mwizi na hawa ndio wanaosafirisha twiga wetu
   
 16. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Inawezekana hata huyu Waziri hajui maana ya matangazo, ye anajionea sawa tu! Transport Officer wa Ardhi ana kazi gani? na dereva wa Waziri je?
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  bora kofia haian direct effect kwnye uchumi wetu ila italii sio wa kitoto na utalii is all about advertisement
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kama unakumbuka bwana mmoja alikuwa akiitwa Peter Kinyanjui (kama sikosei) enzi za Mh. Mrema, huyu jamaa alijipenyeza mpaka akawa katibu wa FAT (by now TFF) mpaka alipokuja kustukiwa.

  Watz tuna matatizo mengi na ukianza kutaja mmoja mmoja kuna watu ambao interests zao ziko nje ya nchi na wanashikiria nafasi kubwa sana za maamuzi. Umoja na Amani inaelekea haujatumika kwa faida ya wengi bali wachache mpaka kufikia level ya kupoteza patriotism kwa kiwango cha kutisha kama hiyo wheel cover

   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Du, hii kali
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hiyo avatar inatisha kama jini
   
Loading...