Nimefurahishwa na Ujio wa Rais wa Zanzibar kanisani kwetu ijapokuwa mama shein alikosekana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefurahishwa na Ujio wa Rais wa Zanzibar kanisani kwetu ijapokuwa mama shein alikosekana.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Black Jesus, May 9, 2012.

 1. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilipata faraja kwa mara ya kwanza katika historia ya Zanzibar kumuona Rais wetu Rais shein(1).jpg amehudhuria katika shuhuli zetu tunakushuru kwa kuitikia witowetu pia tungefurahiwa zaidi uwepo wa mama shien kama ulivyokuwa uwepo wa Rais mkapa na mama mkapa

  [​IMG]
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  okey. . .
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,795
  Likes Received: 2,566
  Trophy Points: 280
  Cool Shein, leaders lead by example, promoting social harmony.
   
Loading...