Ndiyo maana akaitwa baba wa taifa maana alikuwa na maono na kuyatumia kwa akili nyingi.
Maneno haya yanatoa majibu kwa kina Nkamia,Kesi na Sanga pamoja na Ndugaye.
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la...