Wataalam na wasomi wa Tanzania wakiwa busy katika maabara ya Corona wakiwa wanatengeneza dawa ya Corona ili kulinusuru Taifa!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Dawa hiyo ilishakamilika na itatumika kama mbadala wa chanjo za mabeberu ambazo tayari serekali imeshazipiga marufuku😄😄😄
3345678.jpg
543890987.jpg

0987654654.jpg

54321098876.jpg

MTOA mada pamoja na lugha yake sanifu ameshindwa kuelewa ya kuwa 80% ya dawa tuzionazo zimetokana na mimea na wadudu lengo la dunia yetu ikibidi dawa zote ulimwenguni zitumie mimea pekee kutokana na NATURE yetu binadamu
MFANO PARACHICHI NI ANTI BACTERIA NZURI SANA NDANI YA MWILI WA BINADAMU
MAYAI YA SISIMIZI YAKIKAMULIWA VIZURI NI DAWA FIRST CLASS YA MACHO i have a lots of basic formula
 
MTOA mada pamoja na lugha yake sanifu ameshindwa kuelewa ya kuwa 80% ya dawa tuzionazo zimetokana na mimea na lengo la dunia yetu ikibidi dawa zote ulimwenguni zitumie mimea pekee kutokana na NATURE yetu binadamu
Wapi nimekataa kuwa mimea isitumike kutengeneza dawa?Ukishindwa kuelewa lengo la mleta uzi ni lipi usimsingizie vitu ambavyo siyo sahihi na ambavyo hajakusudia!
 
MTOA mada pamoja na lugha yake sanifu ameshindwa kuelewa ya kuwa 80% ya dawa tuzionazo zimetokana na mimea na wadudu lengo la dunia yetu ikibidi dawa zote ulimwenguni zitumie mimea pekee kutokana na NATURE yetu binadamu
MFANO PARACHICHI NI ANTI BACTERIA NZURI SANA NDANI YA MWILI WA BINADAMU
MAYAI YA SISIMIZI YAKIKAMULIWA VIZURI NI DAWA FIRST CLASS YA MACHO i have a lots of basic formula

Ushuzi ni moja ya bomu tena kwenye nyuklia.kwa kuwa linanuka uwezi kutumia kama usipoliweka kitaalamu zaidi kwenye maabara.

Kwa nini nakueleza hivo.teknolojia inaweza kuboresha zaidi ili kufikia kutibu kuliko asili uchelewa sana na kufikia kutibu kingine sio unacho umwa.

Kama kila tunda sijui mimea na unavyo sema vinatibu basi kila mtu angekuwa safi hata hospitali tusinge kwenda.

Kisa kimoja kuna jamaa kwetu mpezi wa matunda sana lakini siku hana kwenda hosptal hanaambiwa hana vitamini C
 
huoni kama kichwa cha habari kina kejeli ya aina fulani?
Wapi kichwa cha habari kimekejeli kuwa dawa zinazotokana na mimea hazifai?Kwa kifupi hujaelewa dhumuni/lengo la uzi wangu!Kuna mdau kama wewe nimemjibu hapo juu anaitwa NAWATAFUNA, ukisoma jibu nililompa unaweza kupata picha kuwa lengo la uzi wangu ni lipi.
 
Back
Top Bottom