Nimeshacheza games za aina nyingi sana lakini hii Zuma ina utamu wa aina yake...hata kama wewe sio mpenzi wa games ukiicheza hii lazima utaipenda tu utake usitake...Je wewe umeshawahi kuicheza...
wengine wanaweka miguu kwenye maji, wengine kunywa kahawa, wengine kufungulia muziki kwa sauti ya juu nk.
Je, miongoni mwenu kuna aliyewahi kujaribu hii!!??