Ayo ni ya uko mwananyamala, hawa hawa wasanii wa CCM's BUNGE MODERN TAARAB wanawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo zifuatazo
1. Mkuki kwa nguruwe... ( Anna Makinda)
2. Mimba zisizotarajiwa (Livingstone Lusinde)
3. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa ( Juma Nkamia)
4. Come on ---- you (Peter Serukamba)
5. Toka nje shenzi (Ndungai J).
Wahi uzinduzi na nunua nakala halisi ili kuinua uchumi wa wasanii nchini.
Wenyewe wanatibiwa India bhana, kamwe hawatakuja kuboresha hizo hospitali. Wakolono weusi hawana huruma kabisa na mtanzania wa kawaida, vitendo vyao havina tofauti na wale majini tulikuwa tunawaita MANYONYA DAMU zamani. CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza