Jaribu hii 'Dawa' ya usingizi

Jaribu hii 'Dawa' ya usingizi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
wengine wanaweka miguu kwenye maji, wengine kunywa kahawa, wengine kufungulia muziki kwa sauti ya juu nk.
Je, miongoni mwenu kuna aliyewahi kujaribu hii!!??
p016mgfh.jpg
 
wengine wanaweka miguu kwenye maji, wengine kunywa kahawa, wengine kufungulia muziki kwa sauti ya juu nk.
Je, miongoni mwenu kuna aliyewahi kujaribu hii!!??
View attachment 90335

hiyo hatari !! usicheze na jicho...hakuna garantiii, Bora utumiye matunda yafuatayo:- Mamungunya, Matikiti, Maboga, nk
Lala salama usingizi mnono....Alamsiki
 
hiyo hatari !! usicheze na jicho...hakuna garantiii, Bora utumiye matunda yafuatayo:- Mamungunya, Matikiti, Maboga, nk
Lala salama usingizi mnono....Alamsiki
mkuu, si ni kuhakikisha tu njiti haina mikwaruzo ya kuliumiza?
 
Jaribu wewe kwanza ikifanya kazi na mimi nitaiaply
 
Back
Top Bottom