Hebu Check Wazungu wananyocheza ngoma ya Kisukuma.

Hebu Check Wazungu wananyocheza ngoma ya Kisukuma.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969





Sisi tuna shida gani jamani kuendeleza utamaduni wetu?
 
Last edited by a moderator:
Mbona wewe na wenzio tunachezaga zao RAPu,dansi, na mengineo ya kizungu ' YOTE ni FURAHA "
 
Check nahapa tena

 
Last edited by a moderator:



Sisi tuna shida gani jamani kuendeleza utamaduni wetu?


Kweli Annael mi nadhani tuna tatizo kuna mahali tumepotea, mie mwenyewe msukuma lakini ndo naziona leo hizo ngoma..asante kwa kushare...utamaduni wetu ni mzuri kabisa...basi tu..nahisi tunahitaji mabadiriko katika kila idara...LOL
 
Last edited by a moderator:
Tatizo letu tunadhani kuwa wao ndio kila kitu wakati tuna wasanii wetu kama kina Madebe na Ngomba ambao ni wazuri tu ila sidhani kama inawezakana kuna hata wanaJF 10 wanaowafahamu hao jamaa..
 
Back
Top Bottom