Pichani Zinaitwa Beer Bar Bike, au Party Bike, Ni Bar zinazotembea Mtaani, zinapatikana katika Miji Mingi Kama Amsterdam Uholanzi, Laguna Ufilipino Pamoja na Arizona Marekani. Zina majina mengi...
Watanzania wenzangu.
Covid imewabana JIRANI nchi moja sasa locked down ya nguvu wamefikia hata kujificha kwenye jaba na jaba linapakiwa kama mzigo na loba la ndizi ili kuwai mzigoni.
pichani ni Harnaam kauri mwanamke anae shikilia record ya kua na ndevu nyingi duniani.
Na june 20 anatarajiwa kuingia katika mashindano ya kuwania TAJI LA MISS UARABUNI
NINI MAONI YAKO???!
Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni...
Leo kwa mara ya kwanza wakazi wa Dar Salaam hasa wameshangazwa na foleni ya magari katiki barabara ya Juu (Flyover).
"Tumekua tukiamini hii jia ya juu ndio suluhisho la foleni ajabu leo tunaona...