Hizi extension bado zipo kweli?

Hizi extension bado zipo kweli?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Hizi extension, enzi hizo

round-extension-box-500x500.jpg
 
Nimeziuza Sana za kampuni ya zaiba kariakoo 2001 enzi hizo ndio nimeletwa Mjini na bro toka kibosho migombani huko ,nilikuwa nakula chips na Pepsi Kama dose, 1*3.
Umenikumbusha mbali Mkuu
 
Nimeziuza Sana za kampuni ya zaiba kariakoo 2001 enzi hizo ndio nimeletwa Mjini na bro toka kibosho migombani huko ,nilikuwa nakula chips na Pepsi Kama dose, 1*3.
Umenikumbusha mbali Mkuu
Daah kweli mkuu, kitambo sana
 
Back
Top Bottom