Unachokiona sio...

Unachokiona sio...

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,376
Reaction score
5,604
Unachokiona sio, angalia vizuri hii picha

Screenshot_20210620-144541_Quora.jpg
 
Mwanamke ni huyu msmart mwenye white aliyesimama mwinamo, hata kwenye screen ya dirishani ukizoom utaona taswira; na viatu pia. Mmen yeye kaeti kumkiti. Au nasema uongo ndugu zangu!???
 
Mbona inaeleweka. Huyo dada ndio mwenye nywele ndefu za kike,kainama kamkumbatia jamaa,mgongo uko sana ila kainama zaidi. Mwanaume kakaa kwenye kiti na hicho juu ni kichwa cha mwanaume chenye nywele fupi fupi.
Halafu kumbe kuna watu mmekosa kabisa kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom