Huu ni ujio mpya wa vyoo vya kisasa .Vijana wako bize wakijisaidia bila wasi wasi wowote
Mmoja anaoneka akishusha mzigo huku akivuta sigara yake, mwingine kashika kiazi mkononi...
Baada ya kuwa nikigonga bure kwa muda mrefu hatimaye wamemkamata mrembo wangu na kumrudhisha kwao Rwanda.Noma sana kwa kweli.Ngoja nirudishe mpira kwa golikipa sasa.
Inaniuma sana nikiria huwaga...
Mke na Mme wameamua kusherekea siku yao ya ndoa kwa kutengeneza keki yenye kiapo kuwa mpaka kifo kiwatenganishe 'till death do us apart' .
Keki hiyo yenye sura zao inayowaonyesha wakiwa wamekatwa...
Naomba kuuliza tu mimi ni abiria nipo kwenye gari la kampuni ya SUMRY Lakini gafla gari yetu imeingia kwenye kituo cha kuweka mafuta na kuanza kuweka mafuta ilihali na sisi tukiwa ndani ya basi...
Mwizi wa kuku avuliwa nguo baada ya kukamatwa .Wananchi wamfungia ndani ya tenga ili wamchome moto
Huyu ni mkenya aliyekuwa ameiba kuku.Wananchi walipomnasa walimpa kichapo kikali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.