Msilalamike kuwa wanawake wame kuwa magogo, hata kile kinu amacho ndiyo manikin kule unyago hakina uzito huu.
Msimtafute mchawi jiangalieni hali zenu kwanza.
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kuonesha mfano wa Baba bora ndani ya familia kwa kubeba mtoto.